ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Niko PapiChulo nakunywa.Hulali?
Eeh ...Huyu ndugu siku mingi sana
Mtoto wa kinondoni analalaje mapema hivi na hii week endHulali?
Kino hii,ghorofaniNiko PapiChulo nakunywa.
Nitalala alfajiri nikitoka
Yeah!Eeh ...Mtoto wa kinondoni analalaje mapema hivi na hii week end Kino hii,ghorofani
Mmmh,Leo au?we si umeamua kuwa meneja wa bendi yako hapo kino B[emoji3]Yeah!
Pale pale.
Nimeambiwa umeonekana 4ways
HahaahahhaaMmmh,Leo au?we si umeamua kuwa meneja wa bendi yako hapo kino B[emoji3]
Hahaha haya bana,ila maramamae cjui unawapa nn ile bendi wanakurusha km pedeshee Fulani hv ,usikute SAA hz upo hapoHahaahahhaa
Nilijua utasema hivo ...ila wala.
Uoga wako tu.
Asa company yote iko pale....tafanyeje?
HahahahahhaHahaha haya bana,ila maramamae cjui unawapa nn ile bendi wanakurusha km pedeshee Fulani hv ,usikute SAA hz upo hapo
Papu chilo nyuma ya mwanamboka hy,Niko mbali best ,km nakuona vileHahahahahha
Si unajua tena sie ma-Alwatan wa Kinondoni.
Akha
Sahz niko PapuChulo
Si unajua ni Weekend ya mwisho mpaka Iddi wengine ndo wanafungua ma-bar?
Kwani we upo wapi? Madame B sasa hivi ni pedeshee pale kwenye ile band.Hahaha haya bana,ila maramamae cjui unawapa nn ile bendi wanakurusha km pedeshee Fulani hv ,usikute SAA hz upo hapo
Yaani hili swali nalo ni la kuuliza?? Kweli???Hahaha haya bana,ila maramamae cjui unawapa nn ile bendi wanakurusha km pedeshee Fulani hv ,usikute SAA hz upo hapo
Eheeee ndo hapo hapo.Papu chilo nyuma ya mwanamboka hy,Niko mbali best ,km nakuona vile
We mzee wewe.Yaani hili swali nalo ni la kuuliza?? Kweli???
HahahahahahhKwani we upo wapi? Madame B sasa hivi ni pedeshee pale kwenye ile band.
Kama unataka wimbo wowotevmwambie akawambie. Wanapiga hapo hapo.
Happy birthday Chachu. (kwa sauti ya madame b)
Siku hizi mimehamishia kambi Makuti Bar Bunju B.Eheeee ndo hapo hapo.
Ndo napokeshaga mie weekend
We mzee wewe.
Afu tangu umehamia B/Moyo, basi hata Bar mpya hukanyagi
Hahahahahahh
Eti pedeshee we mzee wa 100 bhana vp.
Ila si unajua tangu ile band inaazishwa tuko nayo hata ile ya pale Mk.
Thou wananijua sana na mdau wao na mtunzaji pia
Hivi pale mvua ikinyesha mnapumulia wapi? Hivi pale Bar mwaonana na LD?Siku hizi mimehamishia kambi Makuti Bar Bunju B.