Happy birthday Beth

Happy birthday [emoji3060][emoji322] beth wangu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji2956][emoji3059][emoji2956][emoji7] Mungu akujalie maisha marefu ww na familia yako

Nimeamua kukupa kidogo changu maana kitakutosheleza ni land rover 2020 niliinunua kipindi cha corona ila sina matumixi nayo.

Have a good day utaikuta kwa aristote kawe (kwa warioba) saa 9 alasiri [emoji81][emoji3059]
 
Ashukuriwe Mungu na kupongezwa wazazi wake, awe na siku nyingi zenye amani na furaha, heri njema y siku ya kuzaliwa kwake.
 
Duh

Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…