ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Habarini
Leo ni siku maalum ya kukumbuka ambayo hupatikana
kwa nadra sana kwa mwanadamu ambaye amezaliwa
na mwanamke, siku ambayo Mungu umuandaa mtu
akiwa tumboni mwa mama yake na kuumumba.
na kisha baada ya miezi 9 huzaliwa na kutokea
duniani.
Marafiki wa jf leo ni siku maalum ya NITONYE
kwani ni siku ya kukumbuka kuzaliwa kwake
hivyo basi kwa ppamoja na upendo wetu
tumtakie kheri na maisha marefu bestito huyu
weka maneno yako ya furaha na upendo hapa
Happy birthday my dia NITONYE Mungu akupe
maisha marefu sana mpaka malongo 100

nitonye kumbuka tu kuwa kuna kirusi kiitwacho watsaapp kimeharibu sana ule umoja wetu humu JF. Ingawa kimeshindwa kuingia MMU na siasani ila nakuomba utambue uwepo wetu hasa sisi wapigamsuli wa Chit-Chat.
To make a long story shot, I wish you HB.
thanks my wife love u baby
upo wif'ngu ma2kio 2 yanatukutanisha mic u..
Nipo my wii yaani mpaka sherehe ndio twaonana
Ndo nini kutakiwa heri ya kuzaliwa na mwingine
ndo nini kutakiwa heri ya kuzaliwa na mwingine
huyo ni wifi yako wala usiwe na wasiwasi my dear
Happy birthday mkuu!
live long.