Happy birthday
snochet
Mungu akuongee furaha na maisha marefu na ya upendo!
Naomba kumwomba dada yangu kipenzi
AshaDii awe mwenyekiti wa sherehe hii na hivyo awateuwe wanakamati kuanza maandalizi.
N.B
Naomba
sweetlady na
cielo muandae cake ya ukweli na
Nicas Mtei andaa card nzuri kubwa ya mtoto huyu alozaliwa leo.
snowhite na
Mamndenyi hakikisheni mtoto anaoga na kupendeza.