Happy belated birthday Cute B

Niliamua nianze na kichambo kwanza shem..Huyu jamaa ananiangusha sana..

Btw heri ya siku ya kuzaliwa shem..Naomba idadi ya miaka na uniambie thamani ya kila mwaka ni sh ngapi..Nataka kukujaza manoti..

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahhahahahhaa shemeji.
Asante sana Kaboom idadi ya miaka ni 40 kila mwaka 20,000 tuu. Mimi siyo wa bei Kali
.
Usinijaze manoti tuu niite na dukani nichague
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…