Happy 48th Birthday to the Jamhuri of Kenya...Hongera zenu wakenya!!!


Mbona hao askari watatu kulia (kuanzia huyo mwenye sura nusu pichani) wanarembua macho? Nway, hongera zao Wakenya!
 
Hongera zenu kwani mnayo haki ya kujivunia maendeleo yenu ya miaka 48 naomba mmwe walimu wa viongozi wa Tanzania wanaojisifia na upupu waliofanya na wanaoendelea kuufanya. Big up and God bless u all kenya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…