Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,556
Martin fayulu goes to court so that Felix Tshikedi cannot assume office till then.
The Catholic Church disputes results and demands opening of the documents.
Congo without a provisional govt.
.....
Monusco worried about Congolese stability.
AU and SADC say they have no problem with results despite voter turnout being 39%
The catholic Church deployed through its arm SENCO deployed 14000 observers more than the UN.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika,zaidi aelewe Wacongo wameamua Felix Tchisekedi ndiye Rais wao,kura hazikutosha. Hii roho ya uchu wa madaraka imuondoke.Mungu mbariki Martin Fayulu
usinilishe manenoHakika,zaidi aelewe Wacongo wameamua Felix Tchisekedi ndiye Rais wao,kura hazikutosha. Hii roho ya uchu wa madaraka imuondoke.
Daahh hii kaliyani ni hiv watu wajue kwamba kama ikitokea felix hakutangazwa ina maana uchaguzi utabid urudiw so inamaana hakutokuwa na raisi mpya na kabila ataendelea kukamadarakan mpka hapo uchaguzu utafanyika tena mwaka uciojulikana,, ,,,kabila ni master plan
Sent using Jamii Forums mobile app