hapendwi mtu...

kaazi kweli kweli.........ukimwaga ugali .... mie nakula mboga yote hakimwagwi kitu hapa.........
 
Haki- ya-nani hawa viumbe wa kike...!!!
 
Huyo bilaa shaka anaonekana kama ni wa buguruni vile!.
 
Hiyo ilikua kitambo kabla ATM, humo ndani ya wallet mwanamama ataishia kuambulia paketi za kondomu, ATM kadi labda na leseni ya udereva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…