Ni yeye!Siye huyu Ighondi Aliyehusishwa na kutekwa kwa Dr Ulimboka miaka ile?!
[emoji23] ni yupi kati ya haoMtu mwenyewe wa mikakati mbona mshamba sana anaonekana, kuanzia mavazi mpaka sura yake
Wanasaikolojia wanasema ukitaka kumjua mtu na tabia yake au hata uwezo wa akili yake tazama viatu vyake anavyovaa au mavaziMtu mwenyewe wa mikakati mbona mshamba sana anaonekana, kuanzia mavazi mpaka sura yake
Mimi sijui mkuu, ila either way wote washamba tu wanavyoonekana[emoji23] ni yupi kati ya hao
😅😅😅😅kwamba humuoni au[emoji23] ni yupi kati ya hao
Inawezekana kabisa.Muuaji huyu hawezi kupata kura. Nyalandu kama vipi anialike hata mm nije nimsaidie kumpigia propaganda chafu dhidi ya huyu mgombea wa ccm (igondu).
Naweza hata nikavumisha kuwa huyu ndiye mkuu wa watu wasiojulikana walioongoza zoezi la kumpiga risasi kipenzi Cha watanzania Lisu, na wapiga kura wakaamini.
Alievaa cap,,ndo mwenyewe mzalendo wa kweli,ighondoMimi sijui mkuu, ila either way wote washamba tu wanavyoonekana
Yaani ukisemea la viatu ndio kabisaa, angalia hizo raba za buku mbili mbili walizovaaWanasaikolojia wanasema ukitaka kumjua mtu na tabia yake au hata uwezo wa akili yake tazama viatu vyake anavyovaa au mavazi