nimesikia nec wanataka wapiga kura kutambua vituo vyao kwa kutumia simu za mkononi ambapo watatuma namba yao ya kadi ya kupigia kura na wata julishwa kila kitu!!
Critically,tujiulize!
Watu wengi wame uza namba za kadi zao,...hawa walio nunua wanajua watakavo tumia namba hizo kupata ushindi,.......je,kwa kutuma namba ya kadi huko haita warahisishia mafisadi kuchaka chua matokeo kwa kutumia "namba" hizo maana sasa watakua na uhakika wa kila mmoja atakae piga kura??