Elections 2010 Hapa "WAME MALIZA" kila kitu!!1

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Nimesikia NEC wanataka wapiga kura kutambua vituo vyao kwa kutumia simu za mkononi ambapo watatuma namba yao ya kadi ya kupigia kura na wata julishwa kila kitu!!

Critically,tujiulize!
Watu wengi wame uza namba za kadi zao,...hawa walio nunua wanajua watakavo tumia namba hizo kupata ushindi,.......Je,kwa kutuma namba ya kadi huko haita warahisishia mafisadi kuchaka chua matokeo kwa kutumia "namba" hizo maana sasa watakua na uhakika wa kila mmoja atakae piga kura??
 
nimesikia nec wanataka wapiga kura kutambua vituo vyao kwa kutumia simu za mkononi ambapo watatuma namba yao ya kadi ya kupigia kura na wata julishwa kila kitu!!

Critically,tujiulize!
Watu wengi wame uza namba za kadi zao,...hawa walio nunua wanajua watakavo tumia namba hizo kupata ushindi,.......je,kwa kutuma namba ya kadi huko haita warahisishia mafisadi kuchaka chua matokeo kwa kutumia "namba" hizo maana sasa watakua na uhakika wa kila mmoja atakae piga kura??

mh haijakaa sawa ni kwa vipi ati?
 
saaaaaaana.Hiyo haifai kabisa kwani kuna ulazima gani mpiga kura kupatiwa kwa simu.UFISADI UNAANDALIWA
 
Nimesikia NEC wanataka wapiga kura kutambua vituo vyao kwa kutumia simu za mkononi ambapo watatuma namba yao ya kadi ya kupigia kura na wata julishwa kila kitu!!

Critically,tujiulize!
Watu wengi wame uza namba za kadi zao,...hawa walio nunua wanajua watakavo tumia namba hizo kupata ushindi,.......Je,kwa kutuma namba ya kadi huko haita warahisishia mafisadi kuchaka chua matokeo kwa kutumia "namba" hizo maana sasa watakua na uhakika wa kila mmoja atakae piga kura??

Wangapi wenye /wanaomiliki simu ??? 6 /40 = 15% au 5/19 = 26%
 
Ni nani anahandle SMS database ya namba za kadi za kura? Isije ikawa NEC imempa yule jamaa wa 6telecom.
 
hawa NEC wajinga sana ..hivi wanamfany anani mjinga..Mbona hawakutuandikisha kwa simu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom