Hapa vipi?

Mkuu kuna comedy flani hivi demu alikua kanunua smartphone mpya, sasa anapochati na mshikaji wake full kuchapia, kama unayofanya kutupia mkuu
Hata ww chunguza rafiki zako wa Kisukuma utagundua % kubwa wana element za kishamba halafu mademu hawajiamini kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…