Acha masihara mkuuAu watu wanachinjana sana nini, mana huko vijijini nasikia wanachinjana sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefurahia nini mkuu? Si kwa kucheko hicho😪Aisee...
Hali ni mbaya! Msisikilize wanasiasa. Corona ipo na inaua. Chukua tahadhariNowadays darslam ambulance zinawasha mataa tu ving'ora naona vimezuiwa!!
Mkuu mbona number yako ya tigo haipatikani hewaniUmefurahia nini mkuu? Si kwa kucheko hicho😪
Ulizia barabara ya NyamongoWewe unaongelea vijiji gani? Make na mimi nina ndugu kibao huko tarime, em tuweke wazi
Labda una namba ya Trekta langu, na siyo simu ndyo maana hunipati mkuu.Mkuu mbona number yako ya tigo haipatikani hewani
Mmeacha kunywa gongo?Sijawahi kuona hali hii tangu nizaliwe
Ving'ora vya ambulance zimekuwa vingi sana,kila baada ya saa moja ambulance inapita hasa hasa inatokea vijijini
Na Kwa mujibu ya watu wanaoishi Tarime vijijini wanasema misiba imekuwa mingi kuliko kipindi chochote yaani vifo vya ghafla vimekuwa vingi sana na watu wanaumwa kwa ghafla na misibani watu wanasongamana
Halafu viongozi wa wilaya wana magari ya serikali wamekaa kimya badala ya kupeleka elimu vijijini watu wajikinge na corona
Hata hapa mjini hali si shwari,ila ambulance zimelia kwa wiki hii,usiku na mchana na kila baada ya saa kadhaa
Sent using Jamii Forums mobile app