Bado unampenda wewe...... kwahio ulivyosasuluhisha ndio ukaamua kujilipa sio....Wadau habari, mm Nina Jambo linanitatiza Sana Sana, sijui nimekua dhaifu au Ni vipi. Jmn Kuna kipindi nilikuja hapa kuleta uzi wa mm kuwa kwenye mahusiano na Dada mmoja kazini, Dada huyu tulijikuta katika mahusiano pasipo ku plan kwa sababu ya changamoto zake na familia yake. Yaan mumewe.
Katika Uzi ule nilieleza Hali ilivokua, namnaa anaishi na namna mm naishi na mke wangu. Lkn pia nikaeleza kuwa nimeamua kumuacha kabisa na ilikua imepita siku 2 pasipo kuongea naye.
Tatizo lililopo Sasa hivi Ni kuwa, sikumudu kuendelea kumweka mbali ukizingatia tunafanya kazi wote, hivo tuliendelea na mahusiano yetu Kama kawaida.
Ndugu zangu, Hali niliyonayo sasa, nimechoka kabisa kuishi haya maisha, sijawahi kuwaza kuwa mwanaume wa hivi, lkn mnajua mwanamke akikutaka hakukosi na inachagizwa na Hali ya ndoa yake. Mumewe Ni very rude. Yaani hajari kabisa.
Sasa hapa ninawaza naweza vipi kumwacha huyu? Nimefanya majiribio karibu manne lkn yamefeli, tunaishia kununiana na kublockiana, lkn mm moyoni nimechoka, yaani Nina pretend lkn sijui mwisho Ni nn!. Sijui Kama hii Hali Ni kwangu tu au Kuna wanaume wamepitia hili na walishindaje? Au nimekua dhaifu, but she was my friend alinishirikisha Hali ya ndoa yake na ilikua wanaachana na mumewe and I sorted it wakaendelea. Kila Mara nikimwambia msimamo wake Ni kuwa ninatumia madhaifu ya familia yake kumwadhibu. Ninatesa kwa sababu ameamua kunipenda.... Daaah naumia sijui naipitaje hii njia.
Lkn pia, Ni mdada mzuri kwakweli, kuhusu gharama nadhan yeye anaingia gharama nyingi Sana kuliko mm. Lkn kwenye upendo naona ninakwama maana kwakweli simpendi, kwa Sasa nipo kwa sababu ya huruma ya ndoa yake na nisionekane natake advantage kukuumiza.
Msaada Kama Kuna mtu kapita hapa.
Nawasilisha.
kijana usioe
kataa ndoa
ndoa ni utapeli
Siku zote mwanaume unapotaka kufanya maamuza hasa magum kwa manufaa mapana ya mustakhabadhi wa kesho na leo yako hutakiw kuangalia nyuma wala kuwa na huruma hvyo.....tena kwa mke wa mtu .....bro bora uonekane katliWadau habari, mm Nina Jambo linanitatiza Sana Sana, sijui nimekua dhaifu au Ni vipi. Jmn Kuna kipindi nilikuja hapa kuleta uzi wa mm kuwa kwenye mahusiano na Dada mmoja kazini, Dada huyu tulijikuta katika mahusiano pasipo ku plan kwa sababu ya changamoto zake na familia yake. Yaan mumewe.
Katika Uzi ule nilieleza Hali ilivokua, namnaa anaishi na namna mm naishi na mke wangu. Lkn pia nikaeleza kuwa nimeamua kumuacha kabisa na ilikua imepita siku 2 pasipo kuongea naye.
Tatizo lililopo Sasa hivi Ni kuwa, sikumudu kuendelea kumweka mbali ukizingatia tunafanya kazi wote, hivo tuliendelea na mahusiano yetu Kama kawaida.
Ndugu zangu, Hali niliyonayo sasa, nimechoka kabisa kuishi haya maisha, sijawahi kuwaza kuwa mwanaume wa hivi, lkn mnajua mwanamke akikutaka hakukosi na inachagizwa na Hali ya ndoa yake. Mumewe Ni very rude. Yaani hajari kabisa.
Sasa hapa ninawaza naweza vipi kumwacha huyu? Nimefanya majiribio karibu manne lkn yamefeli, tunaishia kununiana na kublockiana, lkn mm moyoni nimechoka, yaani Nina pretend lkn sijui mwisho Ni nn!. Sijui Kama hii Hali Ni kwangu tu au Kuna wanaume wamepitia hili na walishindaje? Au nimekua dhaifu, but she was my friend alinishirikisha Hali ya ndoa yake na ilikua wanaachana na mumewe and I sorted it wakaendelea. Kila Mara nikimwambia msimamo wake Ni kuwa ninatumia madhaifu ya familia yake kumwadhibu. Ninatesa kwa sababu ameamua kunipenda.... Daaah naumia sijui naipitaje hii njia.
Lkn pia, Ni mdada mzuri kwakweli, kuhusu gharama nadhan yeye anaingia gharama nyingi Sana kuliko mm. Lkn kwenye upendo naona ninakwama maana kwakweli simpendi, kwa Sasa nipo kwa sababu ya huruma ya ndoa yake na nisionekane natake advantage kukuumiza.
Msaada Kama Kuna mtu kapita hapa.
Nawasilisha.
Pia imagine hyo angekuwa mkeo ungemshaur nn anayekugongea!Wadau habari, mm Nina Jambo linanitatiza Sana Sana, sijui nimekua dhaifu au Ni vipi. Jmn Kuna kipindi nilikuja hapa kuleta uzi wa mm kuwa kwenye mahusiano na Dada mmoja kazini, Dada huyu tulijikuta katika mahusiano pasipo ku plan kwa sababu ya changamoto zake na familia yake. Yaan mumewe.
Katika Uzi ule nilieleza Hali ilivokua, namnaa anaishi na namna mm naishi na mke wangu. Lkn pia nikaeleza kuwa nimeamua kumuacha kabisa na ilikua imepita siku 2 pasipo kuongea naye.
Tatizo lililopo Sasa hivi Ni kuwa, sikumudu kuendelea kumweka mbali ukizingatia tunafanya kazi wote, hivo tuliendelea na mahusiano yetu Kama kawaida.
Ndugu zangu, Hali niliyonayo sasa, nimechoka kabisa kuishi haya maisha, sijawahi kuwaza kuwa mwanaume wa hivi, lkn mnajua mwanamke akikutaka hakukosi na inachagizwa na Hali ya ndoa yake. Mumewe Ni very rude. Yaani hajari kabisa.
Sasa hapa ninawaza naweza vipi kumwacha huyu? Nimefanya majiribio karibu manne lkn yamefeli, tunaishia kununiana na kublockiana, lkn mm moyoni nimechoka, yaani Nina pretend lkn sijui mwisho Ni nn!. Sijui Kama hii Hali Ni kwangu tu au Kuna wanaume wamepitia hili na walishindaje? Au nimekua dhaifu, but she was my friend alinishirikisha Hali ya ndoa yake na ilikua wanaachana na mumewe and I sorted it wakaendelea. Kila Mara nikimwambia msimamo wake Ni kuwa ninatumia madhaifu ya familia yake kumwadhibu. Ninatesa kwa sababu ameamua kunipenda.... Daaah naumia sijui naipitaje hii njia.
Lkn pia, Ni mdada mzuri kwakweli, kuhusu gharama nadhan yeye anaingia gharama nyingi Sana kuliko mm. Lkn kwenye upendo naona ninakwama maana kwakweli simpendi, kwa Sasa nipo kwa sababu ya huruma ya ndoa yake na nisionekane natake advantage kukuumiza.
Msaada Kama Kuna mtu kapita hapa.
Nawasilisha.
Do! na wewe limekuchomoka!Mwanamke anaonekana anataka kukazwa na wewe, ndo maana anakuganda.
Hizi ndoa hizi...majanga ni mengi.
Hahahàa Cha kufanya ukishahisi hivyo unatoa ushauri wa uongoHumu jamiiforum unaweza kukuta unampa ushauri mwanaume anaemkaza mke wako, mimi sina cha kusema