Yea ni kioo au connectors. Kama upo Dar nenda Machinga Complex mafundi wapo wengi wewe utachagua yupi mtawezana bei.kwa hyo hapo tatzo litakuwa ni kioo tu cha kubadilisha mkuu
nmejaribu kufanya hivyo imekataa kuonyesha hii pc inatumia VGA pekee aina sehem ya HDMI so nashindwa kujua labda hii port ya vga ni mbovu piasikiliza kiongozi kama unataka kufahamu tatizo hapo hebu unganisha pc yako kwenye monitor nyingine kama iki display bas shida ni display ya pc yako
nimejaribu kufanya hivyo naona inakataa kusoma kabisa ,, sa sijajua tatzo linaweza kuwa na Vga inasumbua au vipYea ni kioo au connectors. Kama upo Dar nenda Machinga Complex mafundi wapo wengi wewe utachagua yupi mtawezana bei.
Ila kama una flat tv unganisha tu laptop na tv
Laptop yako umewahi kuiunganisha na tv kabla? Ilikubali? Kama ni first time hebu update drivers za vga kwanza kisha unganisha tenanimejaribu kufanya hivyo naona inakataa kusoma kabisa ,, sa sijajua tatzo linaweza kuwa na Vga inasumbua au vip
Pamojasijawahi hapo kabla ahsante mkuu,, ngoja nitafute mtaalamu kwanza