Hapa ni Mji gani jamani?

Hawa watakua wajinga wa Unguja kwa wazenjibar.
 
Hapo ni Maskani maarufu ya CCM ya Kisonge a.k.a Kisonge Maskan. Hilo bango huwa updated kila muda kulingana na hali iliyopo.

Sasa hapo ni baada ya msiba wa Mwakilishi Salmin Awadh na John Komba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…