Hii picha UKAWA ndio ngao yao.
Ya zamani sana, na imeshawekwa hapa mara nyingi mno.
Tuwaachie UKAWA na wao wapate la kuongea, maana wamekuwa wakimya mno.
UKAWA njooni mchangie hapa ili mpate kupunguza maumivu mlio nayo.
Rais Magufuli, anawanyima raha watu kupita maelezo