sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 8,087
- 7,456
Jamaa anashindwa kutofautisha biashara anadhani ni kila biashara inakopesheka, na kwa ugumu wa mazingira aliyoweka watamchanganyia hata rangi ya nyumbaWakati mwingine matatizo tunayaleta sisi mabosi. Kama ulimwamini katika kutafutatafuta yako ya hao mafundi bora wa kupiga rangi ukampata huyo unaona ugumu gani kumpa advance ya 800,000?
Hiyo 200,000 itamsaidia nini ukilinganisha na gharama za aina mbalimbali za rangi za kuchanyanya kupata ratio kamili ya rangi ya gari lako? Kwani yeye huyo jamaa ni kampuni kusema ana mtaji wa kutosha kufanyakazi amalize ndo alipwe?
Wangapi wanazungushwa na kutapeliwa baada ya kumaliza kazi? Wewe ndo umefanya kazi yake iwe ngumu kwa kutompa advance!