Umekalia nini mkuu mbona unafura sanaDomo refu kama chupa kazi ni umbea tu !!!!!!!
Mdomo wangu umebaki waziMagu ni jina la kitambo sana hapo Mwanza.
Jina hili lilikuwepo tangu enzi za Nyerere, na sasa palipata hadhi na kupewa wilaya.
Hapo Magu nimepita sana enzi za ujana wangu..... baada ya Igoma una enda Kisesa then Magu nakuendelea
Magufuli tunapenda sema uvccm na bavicha ndio wanamchafuaMtu kachokwa hapo
Sawa Mrs Ushimen....[emoji12] [emoji12]Mdomo wangu umebaki wazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa Mrs Ushimen....[emoji12] [emoji12]
Ukuje huku PM niufunge....tehteehh
Khaaaa najisikia wivu ujue ulivyoitwa mrs[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]