Hapa mkoa Gani

wataalam wenye hobby ya kusafiri????? unasomewa wapi huo utaalam wa hobi ya kusafiri mkuu
 
Singida hapo... Picha ya kwanza ni pale njia panda ya kwenda Dodoma na Tabora, Mwanza
 
Singiga hii mkuu, hapo juu kanisa la KKKT, hapo Kati stand ya Isuna.
 
wataalam wenye hobby ya kusafiri????? unasomewa wapi huo utaalam wa hobi ya kusafiri mkuu

Waulize hao wataalam waliojibu watakuambia fasta..na wewe ukasome
 
mmekosea wote hii ni njombe

Sio njombe, hata taaluma ya photo interpretation ulishasahau kama ni Njombe, mbona hao raia hawajavaa makoti ya baridi. Hiyo Singapore hiyo. Angali hiyo picha ya chini hao vijana wawili wana sura za Singapore.
 
Singiga hii mkuu, hapo juu kanisa la KKKT, hapo Kati stand ya Isuna.
Swadata, Singida kwetu, naona kanisa la msalaba mrefu pale, na stand ya ISUNA. wajifya mnyampaa mshana jr. Songela zigzig...!!!!!!!!!
 
Nimepasahau kidogo wakipataja barabara nitapakumbuka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…