Hapa Lowassa ataweza kweli!


japo ndo mawazo yako bt
always non sens...japo
 

hizo so hoja Ni hofu,pigeni kura Oct 25 tuache hofu lowasa ni mzoefu ktk utawala.
 
Hapana sina imanai hiyo kwa sababu kwanza ametumia pesa yake kupata nafasi huko chadema...ame nunua watu kila kona nahisi atakua na kiburi tuu kuwa pesa yake takua imefanya kazi na si vinginevo
 

Lowasa yupo mguu ndani mguu nje anatafuta urais kupitia ukawa lakini bado ni ccm damu.Ukweli huu utagundulika mara baada ya uchaguzi
 
Utaweza choma nyumba yako alimradi tu nyoka afe?Hzo zitakuwa akili za kutilia walakini.

Inategemea na madhara ya huyo nyoka,pamoja na gharama ya hiyo nyumba..lakini kwa CCM acha tuchome nyumba
 
..yaani haujajipanga alafu na sie tukubali uwe rais wa ilimradi? kama ni hivyo ni bora tukahairisha uchaguzi kwanza vinginevyo hatutaki majaribio Ikulu
kwa hiyo tukiahirisha uchaguzi tunawapeleka ikulu wakafanye majaribio kwanza?
 
Tutajuana baada ya kumuondoa fisiemu kwanza,. Hii nchi ni kubwa kwa vyeo kwa eneo..! Wataenea wote.! We tulia utacheki
 
japo ndo mawazo yako bt
always non sens...japo

Call it nonsense but coz of your ignorance you don't even realize that ushabiki wako wa kibubusa has killed your brain!! Utaendele kuishi kwa matumaini hadi unaingia kaburini. Sio chadema/ukawa wala ccm itakayobadili maisha yako punguwani wewe! Ni jasho lako wewe mwenye we takataka wewe
 
Tuahirishe uchaguzi ili tuendelee kuongozwa na nani?unafikiri wote twafurahia tunachofanyiwa na serikali hii?
 
kwa ccm,ni afadhali kuibomoa nyumba na kuanza kujenga nyingine kuliko kukarabati hili gofu.
 

sasa punguani nani hapa?anayetukana au mtukanaji?functions of the government are well known and one of them is to promote welbeing of its people!sasa msomi kama wewe unaposema si ukawa wala cdm itakayokuletea maendeleo tukueleweje?
 
japo ndo mawazo yako bt
always non sens...japo

watanzania wamevumilia kwa miaka 50,hiyo 15 itawashinda?watu wamejimilkisha nchi kama yao,wengine tumekuwa kama wapangaji muda wote,then watwambia tuwe na imani na ccm?
 

Ndg yangu sipo nyuma kama unavyofikiria. Inahitaji weledi wa kutosha kuweza kutambua janja ya mnaowashabikia.

In short, mnayoyatarajia mnaweza kuyapata may be in the short term, hasa kwa kuangalia malengo ya ukawa hadi wanapata mgombea uraisi.

But mark my words, UKawa is a potential source of instability, ineffective governance, and intergroup (coalition parties) conflict in the long term.

Ni afadhali chadema ingebaki peke yake with EL. sijawahi kuona chama kikubwa kukubali kugawana vyeo na madaka na vyama vidogo pasiwepo mitafaruku ndani yake.

Tuombe uhai
 
watanzania wamevumilia kwa miaka 50,hiyo 15 itawashinda?watu wamejimilkisha nchi kama yao,wengine tumekuwa kama wapangaji muda wote,then watwambia tuwe na imani na ccm?

Mkuu suala sio kua na imani na ccm au la the issue is you allow politicians to take advantage of desperation !!!
 

Kwanza CCM itoke mambo mengine baadae
 
Hivi EL akiwa rais Lembeli , Bulaya na wengine waliotoka ccm wawe wabunge. Nchi itakuwa inaongozwa na ccm B au ukawa??. Wajumbe mnasemaje ni mtazamo tu
 
niliwahi kusikia kwamba nyoka akiingia ndani kwako unamuu kwa silaha yoyote ili mradi afe, usafi utafanya badae nyoka akishakufa, au wewe unawazaje

Usafi baadae au vipi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…