ganda la mua la jana
Member
- Jan 12, 2015
- 27
- 10
Hivi kumfanya Lowasa kwa kipindi kifupi kuendana na mfumo wa chadema na ukawa. Mfumo ambao hata ukawa wenyewe bado unawasumbua. Akipewa nchi katika hali hiyo ataweza kubadilisha chochote au atakuwa bora liende?
Nawaza kwa sauti tu wapendwa, naomba mnisaidie kuwaza plz.
Unajisumbua kaka make wao wanasema bora tu wapate urais eti mengine yatajitengeneza yenyewe ..Wanahisi kuwa rais ni ngekewa basi ilimradi liende ..yaani haujajipanga alafu na sie tukubali uwe rais wa ilimradi? kama ni hivyo ni bora tukahairisha uchaguzi kwanza vinginevyo hatutaki majaribio Ikulu
Hivi kumfanya Lowassa kwa kipindi kifupi kuendana na mfumo wa CHADEMA na UKAWA. Mfumo ambao hata UKAWA wenyewe bado unawasumbua. Akipewa nchi katika hali hiyo ataweza kubadilisha chochote au atakuwa bora liende?
Nawaza kwa sauti tu wapendwa, naomba mnisaidie kuwaza please.
niliwahi kusikia kwamba nyoka akiingia ndani kwako unamuu kwa silaha yoyote ili mradi afe, usafi utafanya badae nyoka akishakufa, au wewe unawazaje
Hivi kumfanya Lowassa kwa kipindi kifupi kuendana na mfumo wa CHADEMA na UKAWA. Mfumo ambao hata UKAWA wenyewe bado unawasumbua. Akipewa nchi katika hali hiyo ataweza kubadilisha chochote au atakuwa bora liende?
Nawaza kwa sauti tu wapendwa, naomba mnisaidie kuwaza please.
Apewe nchi na NANI?
UKAWA/Chadema ikishinda mnashabikia na kusubiri neema itabidi muwe wavumilivu kwa takriban miaka 15 kabla mtz mmoja mmoja kufaidi matunda ya mabadiliko (kama itatokea ukawa kushinda). miaka 5 baada ya kushinda ni ya kusherehekea kuiondoa ccm, kujipanga vyama vilivyounda ukawa, kushuhulikia migogoro ya kugawana nafasi va vyeo serikalini itakayoibuka kila kukicha baina ya vyama vinavyounda ukawa; miaka 5 mingine (kama wataendelea kushinda) ni ya kuanza utekelezaji wa ilani ya ukawa/chadema; majibu ya utekelezaji huo yanaweza kuonekana miaka 5 itakayofuata!