CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,075
- 27,369
mleta mada kasema ukweli najua wametegesha manzoki wamchukue hadi december dirisha dogo , lakini dah nilidhani wangeenda nchi ya kiafrika kuleta striker linalojua uchawi ni nini, atalogwa sna huyu mzungu, sijafurahiOndoka kwenye dimbwi la primitive minds. Tupo kwenye modern football. Mambo ya uchawi na ushirikina peleka UTOPOLO.
atacheza hiyo mechi vizuri kama jaja halafu kuna mafaza yataenda kulia kwa babu zao huko vijijini yatatumwa makombora ni full kuvunjika magoti kama fragaUnalia wakati hata mchezaji hajacheza mechi hata moja
Huo ni upumbavu, Kuendekeza fikra za kijima. Sasa ni modern era hizo imani hazipo.mleta mada kasema ukweli najua wametegesha manzoki wamchukue hadi december dirisha dogo , lakini dah nilidhani wangeenda nchi ya kiafrika kuleta striker linalojua uchawi ni nini, atalogwa sna huyu mzungu, sijafurahi
Acha kukaza shingo mwafricaHuo ni upumbavu, Kuendekeza fikra za kijima. Sasa ni modern era hizo imani hazipo.
kamuulize Tores kilichomkuta baada ya Drogba kuwasiliana na wazee wa ivory coast...nakuambia kwa mara ya kwanza safari hii mnigeria kiungo atadumu pale simba maana Fraga uchawi aliopigwa, duhHuo ni upumbavu, Kuendekeza fikra za kijima. Sasa ni modern era hizo imani hazipo.
Kwani Simba si juzi tu waliwasha moto uwanjani?Uongozi gani huo wa kukemea ushirikina?Acha kukaza shingo mwafrica
Hizo mambo zipo sana
Cha msingi ni uongozi utoe kalipio Kali kwa yeyote atayeonekana kujihusisha na vitendo hivyo
Timu inatumia gharama kubwa sana kusajiri
Ameshaagwa na kuondoka klabuni.Naomba Sana viongozi wa Simba wanisikie wambakize Mugalu. Vinginevyo striker wa kudumu atakuwa John Boko.
UDI wa kufukuza mapepo ya orlando pirates, we vipi kuna team wachawi south africa kama pirates? search google TEKO MODISE ORLANDO PIRATES MUTHI...huyo ni star wao wa zamani katoa kitabu anaelezea jinsi pirates wanavyologaKwani Simba si juzi tu waliwasha moto uwanjani?Uongozi gani huo wa kukemea ushirikina?
Si unajua mzungu hakosei.NALIONA KOSA LINGINE KWENYE SAJILI ZINAZOENDELEA NDANI YA SIMBA.
Nimesikitishwa Sana na Usajili wa Simba uliofanyika siku ya Leo.
Watu wote tukiamini kwamba hii ndio sehemu uliyoigharimu Simba msimu wa 2021-22. Kutokana na washambuliaji wake watu Mugalu, Boko na kagere kutokufikisha hata idadi ya Magoli 10 katika michezo zaidi ya 46.
Nilitegemea uongozi utaanzia hapana kufanya marekebisho ndani ya kikosi kwa kuwaondo wote watu ama .
Baadaye kutafuta washambuliaji wawili wa Maana kama MAYELE.
YANI TULITEGEMEA MTU KAMA MANZOKI AKISHIRIKIANA NA PHILI.
Leo wanatuletea mserbia ambayeMazingira ya Afrika ni magumu sana.
..Hali ya hewa.
...utamaduni.
...Ushirikina
Na yote Mengineyo
HAKUNA MZUNGU ALIYEWAHI KUFANYA VIZURI KWENYE SOKA LA BONGO.
Huyu mzungu akacheze eti Songea au Mbeya kisha a perform vizuri ni kudanganyana.NALIONA KOSA LINGINE KWENYE SAJILI ZINAZOENDELEA NDANI YA SIMBA.
Nimesikitishwa Sana na Usajili wa Simba uliofanyika siku ya Leo.
Watu wote tukiamini kwamba hii ndio sehemu uliyoigharimu Simba msimu wa 2021-22. Kutokana na washambuliaji wake watu Mugalu, Boko na kagere kutokufikisha hata idadi ya Magoli 10 katika michezo zaidi ya 46.
Nilitegemea uongozi utaanzia hapana kufanya marekebisho ndani ya kikosi kwa kuwaondo wote watu ama .
Baadaye kutafuta washambuliaji wawili wa Maana kama MAYELE.
YANI TULITEGEMEA MTU KAMA MANZOKI AKISHIRIKIANA NA PHILI.
Leo wanatuletea mserbia ambayeMazingira ya Afrika ni magumu sana.
..Hali ya hewa.
...utamaduni.
...Ushirikina
Na yote Mengineyo
HAKUNA MZUNGU ALIYEWAHI KUFANYA VIZURI KWENYE SOKA LA BONGO.
Mzungu harogekimleta mada kasema ukweli najua wametegesha manzoki wamchukue hadi december dirisha dogo , lakini dah nilidhani wangeenda nchi ya kiafrika kuleta striker linalojua uchawi ni nini, atalogwa sna huyu mzungu, sijafurahi