KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,218
- 5,446
😂😂😂😂😂Muda mfupi baada ya chombo Cha Titan kupoteza mawasiliano na kupotea kabisa tunasikia habari za Wanamgambo kutaka kuvamia Moscow, hapa ndio penye maswali sana.
Kwa nini, matukio hayo yafuatane kwa karibu?
Kwa nini tukio la kupotea kwa chombo Cha TITAN linaezwa na tukio la Wagner kutaka kuivamia Urusi?
Mawasiliano kwenye chombo Cha Titan yalipotea ghafla tena kwa kasi ya ajabu, kwa nini tena kikiwa na teknolojia za juu sana za mawasiliano?
Kupotea kwa chombo Cha Titan , kunataka kufanana na kupotea ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea 2014 , ndege ile ilikuwa na mawasiliano ya juu kabisa?
Hitler alishindwa kuifikia Moscow akiwa na jeshi la Askari wasiopungua milioni 10 alipigwa kwa nini Wagner wahisi ni jambo rahisi hivyo?
Baada ya kutafakari kwa kina juu ya hayo nimegundua Siri kubwa imejificha tena sana. Kwa sababu:
Anayeongoza kwa teknolojia za kisasa kabisa za chini, baharini na Angani ni......
Tusimchukulie poa Russia , ana Siri za kutisha sana
Kwanza sio kweli eti kwamba chombo kina teknolonjia ya juu. Kile chombo kina teknolojia ya chini maana kilitengenezwa kwa cheapp offshelf materials kupunguza gharama na ndio maana kilikuwa kinaongoza na game pad ya logitech toleo la mwaka 2010 inauzwa dollar 32 amazon.Muda mfupi baada ya chombo Cha Titan kupoteza mawasiliano na kupotea kabisa tunasikia habari za Wanamgambo kutaka kuvamia Moscow, hapa ndio penye maswali sana.
Kwa nini, matukio hayo yafuatane kwa karibu?
Kwa nini tukio la kupotea kwa chombo Cha TITAN linaezwa na tukio la Wagner kutaka kuivamia Urusi?
Mawasiliano kwenye chombo Cha Titan yalipotea ghafla tena kwa kasi ya ajabu, kwa nini tena kikiwa na teknolojia za juu sana za mawasiliano?
Kupotea kwa chombo Cha Titan , kunataka kufanana na kupotea ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea 2014 , ndege ile ilikuwa na mawasiliano ya juu kabisa?
Hitler alishindwa kuifikia Moscow akiwa na jeshi la Askari wasiopungua milioni 10 alipigwa kwa nini Wagner wahisi ni jambo rahisi hivyo?
Baada ya kutafakari kwa kina juu ya hayo nimegundua Siri kubwa imejificha tena sana. Kwa sababu:
Anayeongoza kwa teknolojia za kisasa kabisa za chini, baharini na Angani ni......
Tusimchukulie poa Russia , ana Siri za kutisha sana
Nmecheka sana pia😂😂😂😂😂
ime bidi nicheke kwenye conclusion yako mzee ume andika shudu mixa pumbu sorry pumba
Pole sana ila ukweli mchungu sana, mnaamini kikosi Cha Wanamgambo kuivamia Russia kabisa tena kikiwa km 450 kutokea Moscow😂😂😂😂😂
ime bidi nicheke kwenye conclusion yako mzee ume andika shudu mixa pumbu sorry pumba
bado haijustify upupu ulio uandika hapa yaani kupotea kwa chombo baharini unataka kuhusisha teknolojia ya urusi? kwamba walihack system ya kale kadude ama?Pole sana ila ukweli mchungu sana, mnaamini kikosi Cha Wanamgambo kuivamia Russia kabisa tena kikiwa km 450 kutokea Moscow
Nakubali,inawezekana Kuna kitu kimefichwa,documentary ya ndege ya MH370 nimeangalia mwanzo mwisho it's serious inshuMuda mfupi baada ya chombo Cha Titan kupoteza mawasiliano na kupotea kabisa tunasikia habari za Wanamgambo kutaka kuvamia Moscow, hapa ndio penye maswali sana.
Kwa nini, matukio hayo yafuatane kwa karibu?
Kwa nini tukio la kupotea kwa chombo Cha TITAN linaezwa na tukio la Wagner kutaka kuivamia Urusi?
Mawasiliano kwenye chombo Cha Titan yalipotea ghafla tena kwa kasi ya ajabu, kwa nini tena kikiwa na teknolojia za juu sana za mawasiliano?
Kupotea kwa chombo Cha Titan , kunataka kufanana na kupotea ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea 2014 , ndege ile ilikuwa na mawasiliano ya juu kabisa?
Hitler alishindwa kuifikia Moscow akiwa na jeshi la Askari wasiopungua milioni 10 alipigwa kwa nini Wagner wahisi ni jambo rahisi hivyo?
Baada ya kutafakari kwa kina juu ya hayo nimegundua Siri kubwa imejificha tena sana. Kwa sababu:
Anayeongoza kwa teknolojia za kisasa kabisa za chini, baharini na Angani ni......
Tusimchukulie poa Russia , ana Siri za kutisha sana
Wanaotaka kwenda Anga za mbali, Engine lazima wakamgongee hodi Putin.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ime bidi nicheke kwenye conclusion yako mzee ume andika shudu mixa pumbu sorry pumba
Jamaa ni shabiki wa Russia,nimebaini mashabaki wengi wa Russia ni vilaza sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ime bidi nicheke kwenye conclusion yako mzee ume andika shudu mixa pumbu sorry pumba
Hiyo siri uliyoigundua iko wapi sasa? mbona hujaiweka hapa?Baada ya kutafakari kwa kina juu ya hayo nimegundua Siri kubwa imejificha tena sana.
Namimi nimegundua siri hapa iliyojificha.Muda mfupi baada ya chombo Cha Titan kupoteza mawasiliano na kupotea kabisa tunasikia habari za Wanamgambo kutaka kuvamia Moscow, hapa ndio penye maswali sana.
Kwa nini, matukio hayo yafuatane kwa karibu?
Kwa nini tukio la kupotea kwa chombo Cha TITAN linaezwa na tukio la Wagner kutaka kuivamia Urusi?
Mawasiliano kwenye chombo Cha Titan yalipotea ghafla tena kwa kasi ya ajabu, kwa nini tena kikiwa na teknolojia za juu sana za mawasiliano?
Kupotea kwa chombo Cha Titan , kunataka kufanana na kupotea ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea 2014 , ndege ile ilikuwa na mawasiliano ya juu kabisa?
Hitler alishindwa kuifikia Moscow akiwa na jeshi la Askari wasiopungua milioni 10 alipigwa kwa nini Wagner wahisi ni jambo rahisi hivyo?
Baada ya kutafakari kwa kina juu ya hayo nimegundua Siri kubwa imejificha tena sana. Kwa sababu:
Anayeongoza kwa teknolojia za kisasa kabisa za chini, baharini na Angani ni......
Tusimchukulie poa Russia , ana Siri za kutisha sana
Muda mfupi baada ya chombo Cha Titan kupoteza mawasiliano na kupotea kabisa tunasikia habari za Wanamgambo kutaka kuvamia Moscow, hapa ndio penye maswali sana.
Kwa nini, matukio hayo yafuatane kwa karibu?
Kwa nini tukio la kupotea kwa chombo Cha TITAN linaezwa na tukio la Wagner kutaka kuivamia Urusi?
Mawasiliano kwenye chombo Cha Titan yalipotea ghafla tena kwa kasi ya ajabu, kwa nini tena kikiwa na teknolojia za juu sana za mawasiliano?
Kupotea kwa chombo Cha Titan , kunataka kufanana na kupotea ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea 2014 , ndege ile ilikuwa na mawasiliano ya juu kabisa?
Hitler alishindwa kuifikia Moscow akiwa na jeshi la Askari wasiopungua milioni 10 alipigwa kwa nini Wagner wahisi ni jambo rahisi hivyo?
Baada ya kutafakari kwa kina juu ya hayo nimegundua Siri kubwa imejificha tena sana. Kwa sababu:
Anayeongoza kwa teknolojia za kisasa kabisa za chini, baharini na Angani ni......
Tusimchukulie poa Russia , ana Siri za kutisha sana
Nimecheka kwa sauti jamani haa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌Kama kawaida wabongo kujifanya wachambuzi mabobevu.
Shenzi kabisa. Unaacha kuchambua njaa ya familia yako na Taifa kwa ujumla kujifanya mchambuzi wa urusi