kwanza hujatuambia huyo mpz anafanya kazi gani namaanisha je kama ni house girl sii lazima awe busy siku zote au kama ni muajiriwa wa shirika flan lazima awe na ratiba zake labda ndio siku yake ya off afanyeje ss na kama unaona kero muwekee beki tatu wa kumsaidia kazi ili mkatembee vizuri back 2 your mada mapenzi hayapimwi kwa hivyo vitu ulivyoviorodhesha as kero kwako