Hapa kuna mapenz kweli?

NATA

Hapo hakuna kulipiza bhana!! Anapunguzia machungu aliyoyapata!! Jamaa alilia michozi mingi kweli, sasa Demu kaamua kumpa kifuta machozi, tatizo liko wapi NATA!!? Kinachotakiwa ni kungonoka then over Fastjet!! Ikitokea Msela hajalizika na kifuta machozi hicho, basi 713 at work, no matter what!!

NATA, wengine mambo simple eti wanaomba ushauri!! Hapa hakuna cha ushauri wala nini, dawa ni kum-Malima alafu unatokomea na SMG!!
 
Hapo hakuna cha kutafakari wala nini, badala yake inawezekana ni kwamba aliyekuwa nae, amemwacha ikabidi arudie shuka wakati kumekucha! Kuwa mwangalifu ndugu.

 


achana nalo hilo jisichana kwani alidhani yuko peke yake duniani? aendege zake. tene zamu yako nawewe mkatalie kama alivyofanya yeye mwanzo ili ajifunze kukatalia watu kiustaarabu mavi yakee!!!
 
Kula mzigo ulipize machungu alafu sepa kwa speed ya fighterflight!!

umenena vema mkuu wangu......hii kitu mimi nishawahi kufanya.......afu baada ya siku hiyo hupokei simu wala kujibu sms

yake hata moja.....yale maumivu atayapata na hakika atajifunza uungwana na kuheshimu hisia za wenzake...

 
nashindwa kupata muafaka na nifanye nn?
Jitahidi kujua kabla hajaja kwako alikuwa na nan afu watumie wale watu wa karibu.. Kupata tariifa zake.
 
wewe utakuwa hukumpenda bali ulimtamani, upendo wa kweli hauwezi kufa kirahisi hvyo cha msingi ni amani ya Kristo iamue ndani yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…