Hapa Kazi tu

Naomba nyie hapa kazi tu mtoe fursa ya wananchi kuuliza maswali hata mawili tu kwenye mikutano yenu.
 

kama wangekuwa wamejileta wenyewe tu bila kusombwa na malori kweli ingekuwa hapa kazi tu, lakini kwa usanii mnaofanya mnajiongopea wenyewe tu, mi nilikula 5000,yao na sikwenda.watu wanabebwa toka namanyere, nkasi
 
Fish eye technology, inasababisha watu wsonekane wengi. Hilo duara linaprove hivyo.
 
we uliepost hii picha unajielewa kwanza?
 
Najikana mwenyewe kama kuna mtu atanishika mkono anipeleke kwenye mkutano wa Magufuli ni kute watu kias hicho
 
Haijawah tokea na haitokaa itokee! Awakute wapi Mbaffffffff kabisa! ! !
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…