I ikigoma iwachu Member Joined Aug 23, 2013 Posts 71 Reaction score 10 Nov 17, 2013 #1 mini ni mwanachuo na nipo y2 chuo flani sikubahatika kupata mkopo awali ila sikukata tamaaa. nimeomba na hivi juzi kimeitika kilio changu Nina mkopo sasa asilimia za kutosha Shukran sana bodi
mini ni mwanachuo na nipo y2 chuo flani sikubahatika kupata mkopo awali ila sikukata tamaaa. nimeomba na hivi juzi kimeitika kilio changu Nina mkopo sasa asilimia za kutosha Shukran sana bodi