Wanaume wameambiwa ni vema kuoa mwanamke mwenye dini
Lkn watu wengi huwa hawaangalii mtu amesoma dini kwa kiasi gani, huwa wanaangalia anapractice dini kwa kiasi gani... so hata yule anaejua kidogo ukamwona anakifanyia kazi huyo ndio anayetakiwa kuliko anaejua mengi halafu hafanyi au anapractice kivivu kuliko anavyovijua...
Zamani kweli ukiambiwa mtu anajua dini bac anaijua haswa na anapractice kama inavyotakiwa
Siku hz akitokea anayejua hata kidogo tu na anauelekeo afadhali ya huyo
Si kwa wanawake hata wanaume pia