Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,312
Nadhan wanaona na kuandika reports na recommendations kwa mamlaka ya uteuziNimeona ziara mbalimbali za Viongozi wetu,Wakitumbuatumbua majibu!Kinachonishangaza!Miradi ya kila Wilaya,Mkoa viongozi wapo!Iweje wawajibishwe wachache?Hawa wengine hawaoni?Mpaka afike Raisi,Makamu wa Raisi,Waziri mkuu nk?!
Basi nao wawajibishwe!Nadhan wanaona na kuandika reports na recommendations kwa mamlaka ya uteuzi
DC, DED, DC, RC wote hawa Mamlaka ya ya uteuzi ni Rais na anaweza akawasiliana nao direct bila ya chain of command.Nimeona ziara mbalimbali za Viongozi wetu,Wakitumbuatumbua majibu!Kinachonishangaza!Miradi ya kila Wilaya,Mkoa viongozi wapo!Iweje wawajibishwe wachache?Hawa wengine hawaoni?Mpaka afike Raisi,Makamu wa Raisi,Waziri mkuu nk?!
Duuh haatariiiDC, DED, DC, RC wote hawa Mamlaka ya ya uteuzi ni Rais na anaweza akawasiliana nao direct bila ya chain of command.
unaweza ukamtingisha DED kwny mradi fulani kumbe kateuliwa makusudi kuja kutekeleza huo mradi kwa style hiyo anayofanya
wale waliofika Ofisini wakakomaa na Sheria, taratibu na circulars wengi waliangukia pua
kama huna taaluma ya unafiki unafiki huko hutoboi kwa kuwa utasukiwa zengwe bila ya kujua
Ally Hapi yupo wapi? alienda kugusa visvyoguswa na hadi MH.Rais akamwambia hadharan usiogope nimekumegea madaraka yangu upambane nao…akaingia mzima mzima akapotea
kwny hizi kazi zisizo na job description wee Kwny Fitna usikose, majungu kidogo usikose, kujipendekeza kidogo usikose, utendaji kidogo, madiwani waloweshee siku moja moja, Chama mkoa, Viongozi wa dini kidogo, then media kidogo n.k
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Upo sahihi kabisaDC, DED, DC, RC wote hawa Mamlaka ya ya uteuzi ni Rais na anaweza akawasiliana nao direct bila ya chain of command.
unaweza ukamtingisha DED kwny mradi fulani kumbe kateuliwa makusudi kuja kutekeleza huo mradi kwa style hiyo anayofanya
wale waliofika Ofisini wakakomaa na Sheria, taratibu na circulars wengi waliangukia pua
kama huna taaluma ya unafiki unafiki huko hutoboi kwa kuwa utasukiwa zengwe bila ya kujua
Ally Hapi yupo wapi? alienda kugusa visvyoguswa na hadi MH.Rais akamwambia hadharan usiogope nimekumegea madaraka yangu upambane nao…akaingia mzima mzima akapotea
kwny hizi kazi zisizo na job description wee Kwny Fitna usikose, majungu kidogo usikose, kujipendekeza kidogo usikose, utendaji kidogo, madiwani waloweshee siku moja moja, Chama mkoa, Viongozi wa dini kidogo, then media kidogo n.k
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Hii ni hatariWengi wanawawajibishwa kwa sababu za kisiasa na kwasababu za kiutendaji mfano huko kusini kadi za CCM zilirudishwa kwa kasi "utumbuzi" mkubwa umefuatia lakini ripoti ya CAG imewataja wengi katika upotevu wa fedha lakini hatuoni hatua zozote za kinidhamu na kisheria zikichukuliwa.