Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,765
- 32,389
nimesoma habari hizi kwa jamaa mmoja kuwa Mo Dewj kama alivyosema before yupo tayari kuichukua Simba na tatizo limebaki kwa Hans Pop kwa maana ya kuwa wengine wote wapo tayari au wamekubaliana na jambo hilo. inasemekana tatizo kubwa ni kuwa hans pop kuna wachezaji aliowasajili kwa pesa zake mwenyewe so kama team itachukuliwa na mtu mwingine yeye atakula hasara. nadhan hapa tatizo ni 10% kama sikosei ikiwa ni kweli hayo yasemwayo.
Tumeona siku za hivi karibuni team ya Simba ikiwa katika hai ya kusua sua kutokana na Ukata na Ingawa tusingependa simba iwe kama yanga ambao wanamwabudu sana Manji lakin tulipenda Simba iwe kma zilivyo Chelsea n.k
tunajua katika hizi timu kuna watu huwasajili wachezaji kwa lengo la kuvuna pesa kupitia wao. yaani kupata asilimia kadhaa za mshahara wa mchezaji husika.lakini sitaki kuamini watu wataweka zaidi matakwa yao mbele na kusahau hali ya sasa iliyopo klabuni. ni wazi wachezaji wa simba wamekosa morali kabisa na hili ndo tatizo tulilo nalo. wanacheza chini ya kiwango na pasipo morali kutokana na kutowekewa mazingira mazuri.
kama kuna ukweli katika haya Simba itakuwa na wakati mgumu sana katika Misimu Mingi ijayo.
Sio lazima kumuuzia Dewji,wazo alilotoa MO linaweza kufanyiwa kazi kwa njia nyingine.Cha msingi ni kubadilisha mfumo wa uendeshaji wa klabu hata kama hilo jukumu hatapewa DewjiKumuuuzia Dewji timu ni ujinga mtupu...
Ili mradi wanachama wanamchagua Hanspope kila mara basi hakuna kitakachobadilika SimbaSio lazima kumuuzia Dewji,wazo alilotoa MO linaweza kufanyiwa kazi kwa njia nyingine.Cha msingi ni kubadilisha mfumo wa uendeshaji wa klabu hata kama hilo jukumu hatapewa Dewji
Hans Pope hajawahi kuchaguliwa na wanachama kuwa kiongozi,huwa anateuliwa na Mwenyekiti kuwa Mwenyekiti wa kamati ya usajiliIli mradi wanachama wanamchagua Hanspope kila mara basi hakuna kitakachobadilika Simba
Makamu ni nani?Hans Pope hajawahi kuchaguliwa na wanachama kuwa kiongozi,huwa anateuliwa na Mwenyekiti kuwa Mwenyekiti wa kamati ya usajili
Geofrey Nyange aka Kaburu na Zakaria Hans Pope ni watu tofauti,Kaburu ndio Makamu MwenyekitiMakamu ni nani?
hivi Hnspope na Kaburu ni watu wawili tofauti?
Aliwahi kuinunua African lion ikamshinda Leo anataka SimbaKwa nini huyo MO aitake simba tu mbona kuna timu nyingi sana tz na akiona Simba hawataki si aanzishe timu yake mbona Bakharesa ameweza tatizo liko wapi..? Hawa wanaojiita mabilionea wa bongo wanapenda sana mteremko na hata kodi hawalipi kisawa Sawa sijui ndo anatafuta chaka la kujifichia.
Simba wana fanbase kubwa sana usilinganishe kabisa na Azam,unafikiri so far investment alliyofanya Bakhresa kuna faida amewahi pata ?Kwa nini huyo MO aitake simba tu mbona kuna timu nyingi sana tz na akiona Simba hawataki si aanzishe timu yake mbona Bakharesa ameweza tatizo liko wapi..? Hawa wanaojiita mabilionea wa bongo wanapenda sana mteremko na hata kodi hawalipi kisawa Sawa sijui ndo anatafuta chaka la kujifichia.
..MO anataka mtaji wa wanachama wa simba tu na majengo yaleAliwahi kuinunua African lion ikamshinda Leo anataka Simba
mwandishi ni chizi kweliungeanza na " Maarifa Chizi " kidogo ningekuelewa lakini kwa kuanza kwa id yako na " Chizi Maarifa " sina la kuongeza kutokana na " upuuzi " uliouandika. sasa nimeamini kuwa kumbe id's zingine zinaendana na uhalisia wa member ( mtu husika ) mwenyewe.