Hivi waajiri bado wana kasumba ya kutaka "hand writting" katika "cover letter"? Maana kuna waomba ajira wengi ambao wanaamini katika hili? Je sababu za msingi ni zipi?
Japo watu wengine wana miandiko ya kuchora chora si issue. Kwanza siku hz hata vijijini kuna computer sidhani kama kuna kazi ya kufanya ofisini kwa kufanywa na mkono. Wizi mtupu mana wingine wenye miandiko mibaya ndo vichwa.