Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,362
Kwani anatafuta mchumba?Hili dili la kiingereza limekuwa muhimu sana kwenye uchumba humu JF.
Kwani anatafuta mchumba?
Hey your welcometo find beatiful ladies hereHili dili la kiingereza limekuwa muhimu sana kwenye uchumba humu JF.
Kuna thread yake niliona kitu kama hicho.
I am Looking for serious Man
Dear People my Name is Ariana and I am looking for the serious man later to be my husband . I need a Man who live near me I live in between Moshi and Arusha. I need a person who workinghard knows english and educated i have Diploma and i want someone to have high education than me. I need A man...www.jamiiforums.com
Ndio wanapoanzia mamaAisee kumbe, lakini kwenye uzi huu anatafuta marafiki
Wa kike na wa kiume amesema[emoji4]Ndio wanapoanzia mama
Hili dili la kiingereza limekuwa muhimu sana kwenye uchumba humu JF.
Yeye atawalenga tu anaowataka jinsia nyingine geresha tuWa kike na wa kiume amesema[emoji4]
Yeye atawalenga tu anaowataka jinsia nyingine geresha tu
Hahahahahah labda kusaga na kukoboaAnazuga tu
Asa mwanamke mwenzetu huyu anataka beautiful wa nini?
Nimekumiss mme wa mtu [emoji8]Uko na jinsia mbili ama mimi ndio sijaelewa
Haha umeanza lini kunimic we mke mtuNimekumiss mme wa mtu [emoji8]
Yeye atawalenga tu anaowataka jinsia nyingine geresha tu