maswali gani haya jamani, mbona hiki kizazi kinakosa kabisa uwezo wa kufikilia na kutatua matatizo. Yaani unategemea mtu ambaye hamjui huyo mwanamke yukoje ana sifa gani ana uwezo gani, kwao wakoje, wewe hakujui una haiba gani, una kipato gani ukoo wenu mkoje aje akushauri kuliko ambavyo we mwenyewe ungeweza kujipatia jibu.
Kama huu ndio utandawazi na maendeleo basi tuna shida sana.
Ujinga ni mzigo
Hiyo Insha sijaielewa mbona! Mmmmmmmm! kweli ni mwanachuo wewe!
Aisee, mbona sielewi kabisa!
Yaani ameandika vibaya mpaka haivutii kusomaKwa kweli hili ni janga la kiTaifa...siku hizi yaani wanachuo na wahitimu wengi hawawezi hata kuelezea scenario ya kawaida tu wakaeleweka...sasa sijui kwenye kujenga hoja yenye mashiko na kuitetea itakuwaje!?