Alafu wewe mbona wadau wengi wanakusifia sana eti wewe ni mrembo.Ili akuamini kama zamani fanya umuoe
Cha kujifunza ni kuwa na busara ya mdomo wakati wote,tusiache hasira zitucontrol
Nashkruu kwa ushaur nduguVemaa , na nyote mna Umri gani?
Unajua ile siku ulivotamka hayo maneno
Alikutafasiri kama
Unamdharau ..hakufaii..una mwanamke mwengine ... Anapoteza muda...Sababu umempangiaa ......N.k
Sasa huwa hawapendi wajihisi ivo... MWANAMKE ANAISHI KWA HISIA YAAN HAWAONGOZWI KWA UTIMAMU WA AKILI ZAO.
Kwa kauli yako, alianza fikiria kwann alipokuomba kitu fulan hukumpa?? Kwann ulifanya vile..vileeee vileeee.
Anakuja kuhitimisha ahaaa kumbeee ndo maana Leo kaniweka wazi.
Huwezi amin , ataanza tengeneza nafasi kwaajili ya Bwana mwengine Mwenye malengo naye.
Ningekua Kosa LA ugonv ningekushauri
KWA LEO ITOSHE KUSEMA, KUNA WAKATI WANAWAKE WANAKUPROVOKE KWA MAKUSUDIIII TUUU YAAN ANATAFUTA KAKITU KUKUPA HEKAHEKA WEEE AKUJAMBISHEE ,UMZENGUEE, UMPE MAKOFI, ...AFURAHIIIIIIIII SIKU ZIENDE.
SASA UKISHINDWA KUTOFAUTISHA KOSA KATIKA HUO MSINGI WAHAPO JUU. KUA ANAKUZENGUA TU AU ANAMAANISHA.
Ama utampoteza aliyesahihi kwako, ama unaenda kuishi na Jambazi.!!
NI hayo tu, Mallya!!
Duh kweli kbs anHadi muda huu dada yupo njia panda, kuna uwezekano kuna anatongozwa na mwanaume mwingine...
Kauli yako inamfanya awe mguu mmoja huku, na mwingine kule...
Hii ni dalili kuwa utampoteza muda si mrefu endapo jamaa ataanza kuwa wa kwanza kufanya move ya kuoa...
Sambamba na kulitekeleza hilo, mtoe 'out' na umuombe msahau yaliyopita na mgange yajayo, huku mkiweka mikakati ya kuwafikia wazazi wenuSawa ndugu asantee
Thank you.Ukigombana na mwanamke hakikisha, maneno unayoyatamka ni je baadae utamtaka tena au ndo mnaachana jumla.
Wana jf habari za majukumu, naombeni ushauri kwa huyu mpenzi wangu niliye naee , kuna siku tulikosana nikamrushia maneno makali saana nikamwambia yaani ww mimi kukuoa itakuwa ngumu saaana ,, bas mambo yakaisha tukasamehana lakin mpenz wangu amekuwa hana raha yupo tofauti na mwanzo hana imani na mimi mda wote anajsemesha kuwa stamuoa... Wakati huo niliongea kutokana na hasira ila katika uhalsia mpenzi wangu nitamuoa na amini mungu yupo pamoja na mi japo yeye haniamini tena kwa sasa mambo meng yanaendlea lakin anakosa raha anafanya vitu kwa wasi wasi
Naombeni ushauri nifanyejee ili aniamini lama zaman......
Ni kwel kwa uliyosema mkuu..yupo alieniletea hekaheka za ivo kwa kunambia kuwa amecheat...aysee nliamsha nae matusi ya kutosha na ndo ukawa mwsho wetu...ila nlijafikir iv kwel kama mlikuwa mnapendana..afu from knw whr mtu anakuambia tu amecheat..itakuwa alifanya kunipimaa...ila kwel ckuwa tayar kuendelea nae maana nlikuwa too weird..nisingemwamin tena hata kama alisema vile kwa kunipimaVemaa , na nyote mna Umri gani?