Hamueleweki wapinzani

Awaeleweki kama kuku aliepatwa na kideri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hamna tume huru. Mimi na wanaonizunguka sii familia tuu hata marafiki zangu. Hatuoni haja kwenda kupiga kura. Mshindi tayari anajulikana tunaenda kufanya Nini ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WASIYO NA UBONGO WAKIENDA CCM WANAKUWA MA-GENEUS GHAFLA ETI? Waitara,Katambi,Shonza,Mtolea n.k ndo 'THINK TANKS" WENU SIKU HIZI.
 
1. Sawa nikubaliane na wewe CCM ina majority lakini je ina 3/4 ya support yote ya wananchi ili katiba iwe credible? Hao kumbuka hata Urais CCM ilipita kwa simple majority yaani just above 50% hiyo MAJORITY unayoongelea ni ipi mkuu.

2. Ule mfumo at least ulipromise kuguarantee maoni ya watu kutoka sekta mbalimbali ili vifungu vipitishwe kwa consensus ndio maana sio wote walikua wanasiasa.

3. Kuhusu kuteua watu 9 hata huku kulikua na tume ya warioba tofauti tu ni kwamba kwa TZ walitaka bunge maalum la makundi yote lipitie na kupitisha rasimu ambacho hakikutegemewa ni kufumua vifungu vyote vya warioba badala ya kurekebisha. Kwahiyo mfumo ni sawa ila mchakato ndio uliingiliwa kama ambavyo watu 9 wangeweza ingiliwa vilevile na kuharibu hyo Modal yako.

4. Suala la kisiasa lina mijadala ya aina gani kuliko sekta nyeti za madini ambayo nayo imeunda tume kibao humo ndani na sheria zingine 3 kufanyiwa marekebisho mapya kabisa yote ndani ya wiki moja. So issue hapa ni ukubwa mjadala au timeframe kufit mijadala?? Maana kama ni maoni na mjadala hata Issue ya madini waliita watu zaidi ya 100 na kuwahoji wote kupata maoni yao na mapendekezo all in two days. Sasa huo mjadala wa kina hauwezi fit muda kama wa huu?? Au ndio excuse unaleta mkuu.
 
kusema matokeo ya urais yahojiwe haimaanishi yahojiwe na mahakama zisizo huru. tunaanza na tume huru, kisha tunahamia kudai mahakama huru. bunge huru. vyombo huru vya habari. uhuru wa kutoa maoni. vyote tutadai.

siku nyingine tumia akili wakati wa kuweka uzi humu.
 
Poleni, hamjui mnataka nini na maelezo yangu hamyatilii maanani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…