Kupoteza hamu ya kula umepoteza vitamin b ,na vitamin b Kuna type nyingi kwaiyo unachosema vitamin kwaiyo waongezee wenzanko vitamin b ila angalia usiwe bonge nyanya na appetizer iyo

Shukrani Sana, napenda Sana vitumbua ila nilifikiri pishi complicated Sana, sasa nimeona kama naweza kuifanya simple tu kama wewe ndio maana nikaomba maelezo. Thanks in advance