Unyevu nyevu
Member
- Oct 30, 2013
- 18
- 4
ni nani huyo mana huyu tuna rais tu hatuna mwenyekiti
Nakatiza
Kumbe ni mpaka nipate balaka!Unapita tu!
Ushapata izini na balaka dha Unyevu nyevu?
imefungwa halafu mbwa mkaliHahahahah
Imefungwa!
Ana bunduki huyo so mbwa akileta mchezo anapigwa tu
pana unyevu nyevu hapa,ukija kichwa kichwa unateleza na kuangukia pua