DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,628
Wadau
Nachukua fursa hii kumkumbusha katibu wa Itikadi na Uenezi haya machache kuifuta kabisa hoja yake ya Upinzani kujenga chuki kwa wananchi dhidi ya serikali
1. Amesahau kuwa wapinzani hawana pa kusemea baada ya mikutano ya hadhara kufutwa.. je wananchi wanawasikia wapi?
2. Polepole hajui kuwa bunge halipo Live sehemu ambayo wananchi walikuwa wanawafuatilia wabunge wa upinzani.
3.Hizo chuki zinajengwa wapi wakati Media haitoi habari za wapinzani?
Hamfrey aelewe kuwa hakutarajiwa kuongea hoja mfu kwani hakuna jipya alilolizungumzia Leo zaidi ya kuonyesha hofu dhidi ya upinzani na uelewa wa wananchi.
Ninavyoona Polepole amekosa hoja na hajui aitendee vipi nafasi aliyopewa kwani inaonesha kuwa alikuwa akisikika zaidi akiponda utawala uliopita ndio kutambulika kwake
Kiatu alichopewa kinapwaya.
Jee kwa hoja yake, bunge lingekuwa live na mikutano ingekuwepo hali ingekuwaje?