Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,872
- 11,661
Mwaka 2016 tulipewa kutoka ocean road cancer institute. Round moja ni elf75 na unatakiwa kupata 3 jumla. Zililipiwa kupitia nhif.Shida IPO kwenye gharama mbaya zaidi hata bima haihusiki kwenye hiyo chanjo.Serikali ingetilia mkazo Sana kwenye hi chanjo no muhimu Sana.
Gharama zinatofautiana baadhi ya hospitali.Mbona mnatoa taarifa nusu nusu,tajeni gharama zake au hata bima na hosp zinazotoa chanjo.
Za serikali na binafsi. Bahati mbaya bima hawafanyi coverage kwenye hili. Kupima unaweza kutumia bima. Ila chanjo unalipa kwa cash.Na mimi nasubiria
Sent from my iPhone using JamiiForums
kupima kabla ni muhimu,kama umeshaathirika chanjo inakua haina maana zaidi ya kukuongezea tatizo tu,chanjo utapata kama hujaathirika so tofauti na hapo ni tibaKumbe una Pima then ndo upate chanjo,
Me nikajua unapata chanjo tu ambayo ndo kings.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama zake ni Tshs 30,000 ambayo unailipa mara 3 yaani elfu 10 kwa sindano moja
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu mim nilipima mnazimmoja hospitali mwezi huu gharama za kupima ni 10k na baadda ya kupima chanjo ni sindano tatu ambazo unachoma ya kwanza baada ya kupima na baada ya mwezi mmoja toka uchome ya kwanza unachoma ya pili na baada ya miezi sita tangu ulivyochoma ya pili unachoma ya tatu hapo dozi inakuwa imekamilika kila sindano kwa mnazimmoja ni 15k.
Mkuu una undugu na dada Seko Shamte Tingitana?Mkuu mim nilipima mnazimmoja hospitali mwezi huu gharama za kupima ni 10k na baadda ya kupima chanjo ni sindano tatu ambazo unachoma ya kwanza baada ya kupima na baada ya mwezi mmoja toka uchome ya kwanza unachoma ya pili na baada ya miezi sita tangu ulivyochoma ya pili unachoma ya tatu hapo dozi inakuwa imekamilika kila sindano kwa mnazimmoja ni 15k.
Baada ya miaka mitano chanjo inaisha muda wake.