Wataishia kuwa watazamaji TU,kosa kubwa alofanya Israel la kupeleka siraha kimya kimya Uikrane, Urusi amefurahia?Israel na western....wata react vipi Baada ya Hamas kwenda Russia
Hapo ndo kipengeleWataishia kuwa watazamaji TU,kosa kubwa alofanya Israel la kupeleka siraha kimya kimya Uikrane, Urusi amefurahia?
Western wakiingia,vikundi vyote na Iran wataingia na kupelekea Israel kufutwa kwenye ramani ya Dunia.
Je wapo tayari Hilo litokee?
kama huez guswa na maswaibu ya watu wa msumbiji na Drc majiran zako , kutwa unazungumzia mambo ya Ukraine na Gaza , ww ni mzalendo kwel? je kuna black american yeyote amewahi anzisha hata kipind kinachogusa maisha ya maswaibu ya waafrika wa chini ya jangwa la sahara ?Wapo mkuu .....mbna unaji dharau
Hii zawadi haitabadili chochote uwanja wa vitaUrusi amejaaliwa ukarimu lazima watawafungashia zawadi ya kutosha
Israeli siyo Somalia, ana nuclear safi kabisa, hata waarabu wakiungana wote, ndani ya dk chache anachoma karibia wote.Wataishia kuwa watazamaji TU,kosa kubwa alofanya Israel la kupeleka siraha kimya kimya Uikrane, Urusi amefurahia?
Western wakiingia,vikundi vyote na Iran wataingia na kupelekea Israel kufutwa kwenye ramani ya Dunia.
Je wapo tayari Hilo litokee?
Nilienda na bado ngoma ngumu
Hiyo ni kwa mujibu wa matangazo yao lkn uhalisia ni tofautUkifeli kujua kiinglish unarudishiwa pesa Yako pamoja usumbufu allowance
Unaamini propaganda za Magharibi ?Je wajuwa hali ya Putin? Kaambali na mijasusi ya magharibi chini ya Israel. Subiri barua ya maziko
Tangu ulipo mtabiria kifo bado yupo tu.Je wajuwa hali ya Putin? Kaambali na mijasusi ya magharibi chini ya Israel. Subiri barua ya maziko
Hakuna hatari acha wapigane tunataka mshindi. Hamas walisema walijiandaa kwa vita ya muda mrefu. Nilifurahi sana kusikia hivyo, na Netanyau kasema wale wanaotaka cease fire watafute cha kufanya, mara hii wanataka Palestine ikaliwe na yeyote lakini siyo Hamas.Hatari sana