Hamas waitembelea Urusi Leo

Mchawi lugha
 
[emoji23][emoji23]
 
[QUOTE="Muite, post: 48242721, member: 16998
Wewe angalia tu muafrika akiishi ulaya naye atajiona ni mzungu, AU MFANO MZURI NI HAPO KENYA AMBAPO WAKENYA WENGI WANAJIONA NI WAINGEREZA, Haaaaaaaah! Poor Africa
[/QUOTE]
Hebu tembea uone maghorofa na uache kuongea nadharia kama umeshaishi mataifa mengine, kwani wewe wakiuana huko congo mchango wako ni ni kama mtu mweusi.
 
Wanakuwa screened kiasi Kwamba hawawezi leta madhara

Pia Dunia imekuwa interconnected kiasi Kwamba huwezi zuia muingiliano ....mfano Leo chief wa pentagon ni black.....but haimaanishi anaweza izuru USA kwa interest za Blacks

Russia sio Botswana
ushwaia ona wapi black mzalendo ? ebu toa mifabo relevant , jamii zilizobakia nje ya black ndo zenye uzalendo wa kwel
 
ushwaia ona wapi black mzalendo ? ebu toa mifabo relevant , jamii zilizobakia nje ya black ndo zenye uzalendo wa kwel
Wapo mkuu .....mbna unaji dharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…