The Palestine Liberation Organisation called for a public rally to be held in Ramallah on Sunday "in solidarity with France against terrorism."
hili Ndiyo tatizo ninaloliona na moderate Muslims wote, wanapenda sana ku sit on the fence , yaani huku wazuri na kule wazuri , huwezi kuwaona wanatoa misimamo Yao kwa misingi ya unafiki uliokithiri , hili kila mtu lazima alijueAngela Merkel,Benjamin Netanyau na Mahmoud Abbas watakuwepo kwenye matembezi ya kupinga shambulio. That symbolizes Christians,Jews and Islams has united.
Hawa ni akina nani?hili Ndiyo tatizo ninaloliona na moderate Muslims wote, wanapenda sana ku sit on the fence , yaani huku wazuri na kule wazuri , huwezi kuwaona wanatoa misimamo Yao kwa misingi ya unafiki uliokithiri , hili kila mtu lazima alijue