Qur’an ilishamaliza yote, Mayahudi muda wao utafika. Mwisho Palestina watashinda vita na kuwa nchi huru katika ardhi yao yote.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Quran haihitambui Palestine,Nan kakudanganya?
WAPALESTINA NI WAVAMIZI KWA MUJIBU WA QURAN
Qur’an inataja wazi kuwa ardhi takatifu (Ardhi ya Kanaani/Palestina) ilipewa kwa Waisraeli (wana wa Israel). Kuna aya kadhaa zinazolitaja hilo:
Qur’an 5:20–21
Na Musa akawaambia watu wake
“Enyi watu wangu! Kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu juu yenu, alipowafanya manabii miongoni mwenu, na akakufanyeni wafalme, na akakupeni msichopewa yeyote katika walimwengu. Enyi watu wangu! Ingieni katika ardhi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuwekeeni, wala msirudi nyuma, msije mkageuka wakhasiri.”
Qur’an 17:104
Na baada ya Firauni, tukawaambia Wana wa Israel: “Kaeni katika ardhi; na utakapokuja ahadi ya Akhera, tutawakusanya pamoja.”
Qur’an inakiri kuwa Mwenyezi Mungu aliwapa Waisraeli ardhi hiyo kama urithi.
Musa aliwahimiza watu wake waingie katika Ardhi Takatifu ambayo tayari imewekwa kwa ajili yao.
WAPALESTINA NI WAVAMIZI