Anasema katiba pendekezwa imeitambua zanzibar kama ni nchi, pia anasema kwa sasa kwenye katiba pendekezwa imewaruhusu wazanzibar kukopa kwa kudhaminiwa na serikali ya muungano.
Sasa anatakiwa ajiondoe rasmi CUF maana ni ujinga kutangaza kugombea urais mwakani kwa chama kingine wakati ameng'ang'ania ubunge wa chama kingine.. Huo ni umalaya wa kisiasa uliohemewa na tamaa..
His days are numbered, kama mwanaume aende katika Jimbo lake wa Wawi ayasema hayo anayoyasema EATV?
Hamad Rashid CCM wamekutumia na ukatumika kisawa sawa, mahala pako sasa ni kwenye pipa la taka, pole sana, dhambi ya usaliti itakutufana maisha yako yote!
Watu kama akina Hamad Rashid ni kero kwasababu nimmoja yawatu waliokuwa wanatupa elimu Ccm ni mbaya lakini leo hii yukonao kundi moja anafanya Kama yawao,sasa tunajiuliza Ccm wamekuwa wazuri lini?.Kwanini tusimuone ukakasi?