Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,490
- 96,054
Jumamosi njema wana bodi,leo hii nimeamua kuwapa pole wana siasa nguri walio amua kujitia kitanzi kwa makusudi kwa mategemeo ya kuvuna mtama kutoka kwenye shamba la miwa,Hamadi Rashid aliamua kusaliti upinzani wa kweli kwa kurubuniwa na watawala kweli akafanikiwa na mwenzake shibuda akapanda mtumbwi huo wa vibwengo kwa ahadi hizo hizo na matokeo yake juzi kwenye uchaguzi wa rais shein kule zenji wamejiaibisha kwani walidhani wataokota dodo chini ya mpera.