Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Umekusudia nini mkuu ( R.i.p. Cuf) Hajafa bado Mzee Hamad Rashid Mbunge wa Wawi. Unamuuwa kabla ya siku zake?MkuuR.i.p. Cuf
Umekusudia nini mkuu ( R.i.p. Cuf) Hajafa bado Mzee Hamad Rashid Mbunge wa Wawi. Unamuuwa kabla ya siku zake?Mkuu
Mkuu, biblia (ambayo Ustaadh wangu Mtatiro anaiamini japo sio sana) inasema UFALME UKIJIFITINI UFALME HUO UTAANGUKA. Once again, R.I.P CUF
Raia wema wa iliyokuwa CUF wafanye fasta wajiunge na chama cha ukombozi dhidi ya magamba, chama kitakachodumisha demokrasia na kuleta maendeleo kwa wananchi wote!