Habari wana Jamii forum wenzangu.
Msaada tafadhali haja kubwa kuwa na halufu Kali (mbaya)ni hali ya kawaida au tatizo, msaada tafadhali mwenye uelewa na hili. Ahsante

Sasa kama unakula mahindi ya kuchoma na karanga mbichi za kuchemsha kwa maganda yake unaenda kula tikiti unameza na mbegu zake wee unafikiri kitakachotoka hapo ni nini