Halua is overrated

Louis II

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
3,030
Reaction score
4,650
Wakuu!

Hii kitu inayoitwa halua ambayo inasifika sana hasa maeneo ya Pwani na Zanzibar kiukweli imekuwa overrated kwani nimeijaribu na nimeshangaa kuiona ina ladha mbaya ukichanganya na appearance yake pia ni hovyo..

Binafsi ni mzaliwa wa Pwani, Tanga but sikuwahi kuipenda hii kitu (haijanivutia) bora hata tende zipo Good!! Sijui wenzangu mnaotumia au mliowahi kuzitumia mmezionaje?

May be am wrong on it!!

Nimejaribu kuvuta picha zake humu bt unfortunately zimegoma nilitaka Wale wanaosikia tu jina la "halua" bila Kuiona waione
 
Halua mbaya kuna demu Wangu toka zenji Mtoto Wa shekh aliniletea nimezionja haziko vizur hata kidogo ni Kama ufuta plus Kama gundi sijui nini kile.
 
Halua mbaya kuna demu Wangu toka zenji Mtoto Wa shekh aliniletea nimezionja haziko vizur hata kidogo ni Kama ufuta plus Kama gundi sijui nini kile.
Plus sukari sukari.
Sijawahi kuzipenda.
 
Duuuh sasa hili nalo ni la kuleta jamvini

Wewe kama unaona mbaya sisi tunaona tamu/nzuri the same kwa vitu vingine vingi
 
Sie twala Na kashata,maziwa, nyie machogo hamjui vitu vizuri atiii, tuachie sie wazenji hapa niko kibarazani nakula haluwa kwa kahawaaa
 
Dah...hakuna kitu kibaya....kaanga vitunguu...vikiiva tia maji kiasi...vikichemka tia majani ya chain...chuja...ongeza sukari...Bonge LA kinywaji
 
Halua mbaya kuna demu Wangu toka zenji Mtoto Wa shekh aliniletea nimezionja haziko vizur hata kidogo ni Kama ufuta plus Kama gundi sijui nini kile.
Najaribu kuwaza tu kama kulikuwa na umuhimu wa kueleza kuwa huyo aliyekuletea alikuwa demu wako na ni mtoto wa sheikh.
 
hivyo hivyo mtoa ...Mada " "hamna kitu ...kama gundi bwana""...huwaga siiwezi aisee....
 

Kila shetani na mbuyu wake. Binafsi haluwa nazipenda sana huwa siwezi kujizuia kuzipenda.
 
Hayo ni masukari guru yaliyogandishwa!!!! ni hatari kwa afya kubugia masukari mengi kwa mkupuo bora tende ni natural
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…