kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,120
- 24,398
Katika hali inayoonyesha ni kwenda na ushindani na kasi ya dunia hatimaye Halotel wamekuja na 5G
Naona TTCL wameachwa nyuma...Ikumbukwe halotel ndo kama ilivyo ttcl kule kwao Vietnam ni mtandao wa serikali upo chini ya Wizara ya ulinzi ya Vietnam pamoja na shirika lao la Ujasusi kule inaitwa Vietell ....Lakini wamefanya vizuri na hadi kupenya kwenye mataifa mengi tu kama matawi....Sisi kupitia ujasusi wa kiuchumi tumeshindwa kufikisha ttcl hadi Burundi na DRC mashariki ambapo uhitaji wa mtandao ni mkubwa!!.
Habari njema kwa wateja wetu na Watanzania wote.
Leo, Halotel tumezindua rasmi mtandao wa 5G, ikiendeleza kaulimbiu yetu isiyobadilika: “Spidi ni mambo yetu.”
Sambamba na uzinduzi huu, tuna furaha kumtambulisha Mr. Idriss Sultan kama Balozi Mpya wa Halotel, atakayeshirikiana nasi kuhamasisha matumizi ya teknolojia ya kasi ya juu na huduma bora za mawasiliano.
Kuanzia sasa, wateja wanakaribishwa kutembelea maduka ya Halotel kujipatia router za 5G na kuanza kufurahia kasi ya juu zaidi, uthabiti wa mtandao, na uzoefu wa kisasa wa intaneti.
Halotel, Pamoja kwa Ubora, Spidi ni mambo yetu.
#Halotel5G
#SpidiNiMamboYetu
#TeknolojiaYaKisasa
#ChaguaHalotel